Umewahi kumzimia Rafiki wa Mpenzi wako? Mpenzi wa Tyrese afichua kuwa awali โ€˜alivutiwa zaidiโ€™ na Paul Walker

Umewahi kumzimia Rafiki wa Mpenzi wako? Mpenzi wa Tyrese afichua kuwa awali โ€˜alivutiwa zaidiโ€™ na Paul Walker

Si kuna sehemu niliona comment yako unasema na umri wako 77 kuna demu alikuacha pressure na kisukari kikakupanda au ulikuwa unafurahisha tu watu sio ww kweli
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Screenshot_20230328_123405.jpg
 
Na kuna hii tabia mtu anakutongoza halaf anakupeleka kwa rafiki zake wanamzidi uzuri na kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo unajiongezaa tyuuh.
 
H
Nishawah na kuna mmoja nilishindwa kuvumilia ikabid ni mmege baada ya kuanza kutumia simu yangu kumtafuta bwana ake

Hata hvyo jamaa nae alikuwa ameshanipalilia njia,maana alikuwa anajifanya hana hela ili demu asimpige sana,kwahyo kila mara demu alikuwa akiomba hela anamwambia ngoja nikamkope WAGUMU TUNADUMU na mimi nikawa nampatia na siku zingine unakuta yupo na demu wake
Hawa ndio aina ya jamaa zetu wa siku hizi ๐Ÿ™„
 
Zelie alikuwa anaongea huku akimmassage mwamba kimahaba naona ilikuwa ni masikhara tu
 
Back
Top Bottom