Umewahi kuona machinjio ya Nguruwe?

Kwani tafsiri ya" kuchinja " na "kuua' ni nini? Mkuu!
Kuchinjwa ni kukatwa shingo ukiwa hai na kitu chenye incha Kali..

Lakini nguruwe anauawa Kwanza kwa nyundo au tofali ndy anakatwa kichwa akiwa mfu tayari.
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumchinja nguruwe,yule mammalia siyo fala,utachezea kino utajuta,nguruwe anapgea rungu la utosi,Kisha tnakata shingo baada ya kuwa mfu
Ni kwasababu haujui tu,Nguruwe anachinjwa bila shida Mkuu. Tumechinja sana shuleni miaka ya nyuma.
 
huyo Issa na nguruwe vp, hawa watu wanaipelekea kitimoto moto kwelikweli, nako muda wakutinga kanzu ukifika wanakuwa siriaz kwelikweli na kupinga nguruwe kwa nguvu zote.
Tanga wapo wanachoma kabisa na wanaonja,wanasema wakipata hela wataacha. Ahahahaa.
 
Huyu anaulizie maini nawakati tunakula utumbo wake na ulimi wake wewe wa wapi aisee
 
Kula tu nyama achana na machinjio ya ngoswe muachie ngoswe
 
Mkuu nguruwe anachunjwa au anauawa?
Mkuu ukibahatika kwenda kwenye kiwanda cha kuprocess nyama ya ngombe utaona huwa wanapiga baruti ngombe ndio kisu kipite. Style hiyo ndio inatumika kwa nguruwe japo locally wanatumia rungu
 
Mkuu ukibahatika kwenda kwenye kiwanda cha kuprocess nyama ya ngombe utaona huwa wanapiga baruti ngombe ndio kisu kipite. Style hiyo ndio inatumika kwa nguruwe japo locally wanatumia rungu
Hizo baruti zinatumika kwenye machinjio gani?


Nguruwe hawezi kuchinjwa kwa urahisi sababu hana shingo.
Ndy maana anauawa kwnza kwa matofali na nyundo.
 
Bandiko lenyewe refuuuuuu kwa kifupi machinjio yapo na kwa kukusaidia tu nguruwe sio weng Kama hao wanyama wengine uliowazoea na uchinjaji wake pia n tofaut kulingana na jins alivo
 
Nipe machimbo nikajifunze nami nianze kuchinja
Kwa dar nenda mbagala kuu mbona kuna machinjio yake pale?, ukiwa unaenda mbagala ukifika 77, ingilia njia ya ng'ombe hapo, utayakuta.na wanunuzi wako hapo hapo
 
Mm napenda ugomvi Sana sijawah kwenda Zanzibar siku nikienda tanunua nguruwe namfunga kamba natembea nae huko Zanzibar Kama mbwa wa kizungu afu kiunoni Nina machete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…