Humid Mao ni mkata umeme, akiwa uwanjani unaweza wewe mtazamaji usione anachokifanya ila upande wa timu pinzani wanaiona shughuli yake.
Kwa ujumla Himid Mao ni kiungo mpambanaji/mfia timu, ndani ya Dk 90 za mchezo atafika kila kona ya uwanja kutoa msaada.
Kama ulishawai muona Darren Fletcher au Ji- sung Park wa Man utd. Ukiwa una wangalia unaweza ukawaona wakawaida ila timu pinzani wanaiona shughuli yake. Ni aina ya wachezaji ambao wako committed/; wafia timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana na wewe mkuu kuna wakata umeme kibao na kazi zao zinaonekana HIMID mpira ukipigwa kwa nguvu unamgonga ugokoKiukweli hapa tunatofautiana saana, ila kwangu himid mao katika kikosi changu chochote kile hana namba na kwa mfumo wowote ule hana namba watakwambia himid mao ni mkata umeme ndio maana hatumuoni, asikwambie mtu hakuna kazi isionekana uwanjani, mpirani ni mchezo wa hadharani na sio chumbani! Wakata umeme wangapi huko duniani tunaona kazi zao, kotei mbona alieleweka kile alichokuwa anakifanya! Himid sio mkata umeme, sio mzuia mashambulizi, sio mtuliza mashambulizi, sio muanzisha mashambulizi, sio mchezeshaji, kwangu huwa namuona yupo yupo tu!
Sijui kazi yake uwanjani nimfananishe na mchezaji gani sijui.
Kiukweli uchezaji wake sijawahi kuuelewa.
Nimekupenda bure dada anguHakuna cha Himid, Samatta wala Msuva. Wote hawajui mpira kama sisi tu ndomaana wakicheza pamoja tunachezea kichapo,kinacho mbeba Samatta ni bahati tu na sasa kishaanza kuaibika huko England[emoji23]
Timu ni twiga stars tu[emoji16] akina mama hoyee
Sijawahi kuona ata kapokonya mpira mtu sijui anakabaga kitu gani?Hamna mtu pale mimi huwa nashangaa na ukata umeme wake huwa siuelewi kwanza akiwepo timu ya taifa lazima uone jinsi tunavyopotezwa pale kati sasa sijui huo gani huwa anaukata.
Duh! ata stand United hakuna wachezaji wa kigeni?Mtu anacheza premier league Egypt huko Tena first eleven Tena ni mweusi halafu unasema hajui mpira?
Mada inamuhusu Himidi ila umemtolea povu sana Samata! Mwache jamaa yetu, kuhusu Himidi hata mimi sijawahi kumuelewa! Baba ake alikuwa ball dancer haswaaa lakini Himidi havutii kumtazama dimbaniHakuna cha Himid, Samatta wala Msuva. Wote hawajui mpira kama sisi tu ndomaana wakicheza pamoja tunachezea kichapo,kinacho mbeba Samatta ni bahati tu na sasa kishaanza kuaibika huko England[emoji23]
Timu ni twiga stars tu[emoji16] akina mama hoyee
Acha kulinganisha J-Sung Park na takatakaHumid Mao ni mkata umeme, akiwa uwanjani unaweza wewe mtazamaji usione anachokifanya ila upande wa timu pinzani wanaiona shughuli yake.
Kwa ujumla Himid Mao ni kiungo mpambanaji/mfia timu, ndani ya Dk 90 za mchezo atafika kila kona ya uwanja kutoa msaada.
Kama ulishawai muona Darren Fletcher au Ji- sung Park wa Man utd. Ukiwa una wangalia unaweza ukawaona wakawaida ila timu pinzani wanaiona shughuli yake. Ni aina ya wachezaji ambao wako committed/; wafia timu.
Sent using Jamii Forums mobile app