Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Nimetoka kuzurura Twitter.
Nikaona kuna jamaa mmoja anajibizana na Himid Mao mkame ninja.
Jamaa akaniambia HIMID haujui mpira na haustahili kucheza kiungo mkabaji maana unazururaga tu uwanjani.
HIMID kajawa povu kaanza kumwambia jamaa ugumu wa maisha unakusumbua jamaa nae kakazia apo tu kuwa HIMID hauna ata tuzo binafsi tutakukumbuka kwa lipi?
Mcheji kafura kweli mara umetumwa mara sijui kitu gani.
Sasa napenda kuuliza wakuu; je, HIMID huwa ana add value yeyote kwenye team ya Taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app