Baba ake anaitwa nani?Mada inamuhusu Himidi ila umemtolea povu sana Samata! Mwache jamaa yetu, kuhusu Himidi hata mimi sijawahi kumuelewa! Baba ake alikuwa ball dancer haswaaa lakini Himidi havutii kumtazama dimbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia baba ake CV zake zinambeba.Itakuwa Himid ana bahati nzuri kuliko rsia yoyote nchi hii, yaani mtu hajui mpira kabisa ila walimu wote wanampanga na kibaya zaid hata Egypt nao wameiga.
Kuikweli mpira upo katika sehemu 2, ufundi ambao tunawaachia makocha na ile burudani ya macho ambayo kila mwenye macho anaiona.
Himid ni mchezaji mzuri katika nafasi yake kiufundi ila kiburudani tutampa maksi chache mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani ameshaga tekeleza uyu jamaa?Off course ana Add value kwenye timu ya Taifa...
Himid sio Talented player huyu ni wale wachezaji wa kutengenezwa + mazoezi na wachezaji wa aina hii mara nyingi huwa wakiwa uwanjani hawanaga zile moments za kukufanya mtazamaji ukabaki mdomo wazi (wow![emoji87]), yaani hawakupi kitu ambacho baada ya mechi mnaweza kumuongelea
Mara nyingi hawa huingia uwanjani kutekeleza ile kazi ambayo katumwa na kocha bila kuongeza hata nukta ya jambo jingine.
Wanasema wataalamu CV ya Baba ake inambebaKweli sisi wa Bongo baadhi yetu tuna shida kwenye kuangalia soka na ndio maana tupo hapa tulipo. Himid Mao amecheza karibu timu zote za taifa za vijana, Tangu ameanza kucheza Azam hajawai kuwekwa benchi kama akiwa mzima yaani akiwa hana majeraha.
Ukumbuke akiwa Azam, Himid amekutana na Makocha wengi tofauti na hajawai kuwekwa bench na kocha yoyote pale Azam awe raia wa kigeni su mzawa.
Kwasasa anacheza Egypt na anapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza, Uku kwetu Bongo mashabiki msha Shiba ubwabwa mnasema hindi Mao hamnakitu.
Ina maana Makocha wote walio mfundisha walikua waki mpendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu ya namba anayoitumikia
Lini alicheza himid team ikawa na balance apo kati?Majukumu ya namba anayoitumikia
Hawezi kukuelewa .Kuna vitu amekalili huyu.Majukumu ya namba anayoitumikia
HIMID anafika ata robo ya ubora wa mkude?Mtu hujui mpira na unapangwa kwenye kikosi tena siyo Mara moja .
Wanaojua wako wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
CV ya baba inambeba vipi tena? Au tukikubaliana na hii hoja kwamba CV ya mzee wake inambeba itakuwa ni hapa kwetu bongo kwasababu huyo baba tunamjua, haya vipi huko Egypt nako wanaweza vipi kumpa nafasi jamaa kwakuitumia CV ya mzee Mao Mkami?
Yaani hapa mkuu unataka nitaje tarehe au?
Ata takwimu tu sizani ata uyo jamaa kama ameshakuwaga man of the match ata mara moja.Yaani hapa mkuu unataka nitaje tarehe au?
Nimeshaanza sasa kuelewa mantiki yako juu ya hii issue ya Himid, ingekuwa bora kama ungesema Himid hajui ukimlinganisha na mtu fulani lakini ukisema tu hajui inatia ukakasi kidogo
Uko aliishiishusha daraja petrojet akanunuliwa kateam kaliko panda mfano ishuke stand United ipande biashara au Gwambina nako huko hachezi kiungo ni beki mbili Egypt pia kuna team mbovu tu mkuu .CV ya baba inambeba vipi tena? Au tukikubaliana na hii hoja kwamba CV ya mzee wake inambeba itakuwa ni hapa kwetu bongo kwasababu huyo baba tunamjua, haya vipi huko Egypt nako wanaweza vipi kumpa nafasi jamaa kwakuitumia CV ya mzee Mao Mkami?
Bongo kuna wachawi wengi sana ndugu yangu amini nakwambia, ikumbuke ile nyimbo ya Sam Hata kwetu wapo ndo utaelewa mkuu.CV ya baba inambeba vipi tena? Au tukikubaliana na hii hoja kwamba CV ya mzee wake inambeba itakuwa ni hapa kwetu bongo kwasababu huyo baba tunamjua, haya vipi huko Egypt nako wanaweza vipi kumpa nafasi jamaa kwakuitumia CV ya mzee Mao Mkami?
Mimi ni shabiki wa Man City pale EPL lakini ukiniuliza ni lini Fernandinho alikuwa Man of the match nitashindwa kukujibu labda hadi nikagoogle, pia pale La Liga napenda sana Barca lakini ukiniuliza ni lini Arturo Vidal alikuwa man of the match vile vile nitashindwa kukujibu.Ata takwimu tu sizani ata uyo jamaa kama ameshakuwaga man of the match ata mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Team haishushwi daraja na mtu mmoja mkuu, team inashuka daraja kwa kufail kama team + bench la ufundi na Management nzima kwa ujumla....Uko aliishiishusha daraja petrojet akanunuliwa kateam kaliko panda mfano ishuke stand United ipande biashara au Gwambina nako huko hachezi kiungo ni beki mbili Egypt pia kuna team mbovu tu mkuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko ni kushuka ngazi utakubariana na mimi tu japo nakujua wewe ni mbishi sana ukiwa na vijana wako kwenye like na commentsTeam haishushwi daraja na mtu mmoja mkuu, team inashuka daraja kwa kufail kama team + bench la ufundi na Management nzima kwa ujumla....
Team yake kushuka daraja na kisha yeye kupata team nyingine inayoshiriki league kuu inathibitisha ubora wake na inaonyesha kabisa kuwa ana kitu ....
Kubadilishwa namba kutoka kiungo hadi beki namba mbili pia inadhihirisha uwezo wake mwingine alionao wa kutumikia namba zaidi ya moja....