Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Off course ana Add value kwenye timu ya Taifa...
Himid sio Talented player huyu ni wale wachezaji wa kutengenezwa + mazoezi na wachezaji wa aina hii mara nyingi huwa wakiwa uwanjani hawanaga zile moments za kukufanya mtazamaji ukabaki mdomo wazi (wow!🙊), yaani hawakupi kitu ambacho baada ya mechi mnaweza kumuongelea
Mara nyingi hawa huingia uwanjani kutekeleza ile kazi ambayo katumwa na kocha bila kuongeza hata nukta ya jambo jingine.