Kweli sisi wa Bongo baadhi yetu tuna shida kwenye kuangalia soka na ndio maana tupo hapa tulipo. Himid Mao amecheza karibu timu zote za taifa za vijana, Tangu ameanza kucheza Azam hajawai kuwekwa benchi kama akiwa mzima yaani akiwa hana majeraha.
Ukumbuke akiwa Azam, Himid amekutana na Makocha wengi tofauti na hajawai kuwekwa bench na kocha yoyote pale Azam awe raia wa kigeni su mzawa.
Kwasasa anacheza Egypt na anapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza, Uku kwetu Bongo mashabiki msha Shiba ubwabwa mnasema hindi Mao hamnakitu.
Ina maana Makocha wote walio mfundisha walikua waki mpendelea?
Sent using
Jamii Forums mobile app