ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii inaweza kuwa ishara kwamba unahisi kuzidiwa na kiasi cha kazi au wajibu ulio nao au madeni. Hata kama ni ndotoni jitahidi ulale chini wasikung'ate kichwani hahahahahaha