tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kweli kabisa mkuu itabidi nipunguzeRoho ya uzinzi inakufuatilia......ikemee kwa jina la Yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu itabidi nipunguzeRoho ya uzinzi inakufuatilia......ikemee kwa jina la Yesu.
Ndugu Kuna mwanamke, mke mdogo, au Malaya uliyewahi kuwa nae kwenye mahusiano ulishiriki naye, anakuvizia akufunge mazima kupitia mapenzi.Huwa nang'atwa miguuni mkuu. Nikishang'atwa nashtuka kutoka usingizimi
Sawa kiongozi. Nashukuru kwa ushauriNdugu Kuna mwanamke, mke mdogo, au Malaya uliyewahi kuwa nae kwenye mahusiano ulishiriki naye, anakuvizia akufunge mazima kupitia mapenzi.
Sasa chukua hatua ya kuwaacha wanawake hao ibaki njia kuu.
Usipostuka, utawekwa kwenye kibuyu, upoteze ramani ya maisha Yako.
Mbwa ni ROHO ya ukahaba na UZINZI.
Nang'atwa na mbwa mimi na kila niking'atwa nashtuka naamka
Ndugu Kuna mwanamke, mke mdogo, au Malaya uliyewahi kuwa nae kwenye mahusiano ulishiriki naye, anakuvizia akufunge mazima kupitia mapenzi.
Sasa chukua hatua ya kuwaacha wanawake hao ibaki njia kuu.
Usipostuka, utawekwa kwenye kibuyu, upoteze ramani ya maisha Yako.
Mbwa ni ROHO ya ukahaba na UZINZI.
Katika mazingira ya kawaida ukingatwa na mbwa, unawahi hospitali Ili Sumu iondokewe.Nang'atwa na mbwa mimi na kila niking'atwa nashtuka naamka
Tafuta msaada wa watumishi wa Mungu aliye na macho ya Rohoni,Sawa kiongozi. Nashukuru kwa ushauri
Anahifanyisha huyo jamaa hana lolote lile.Tanzanini hii hii yenye shule kila kata? Wakimbizi rudini kwenu.
Nzuri na hongera. Roho ta ukahaba kama ulivyosema inamuandama huyo.Katika mazingira ya kawaida ukingatwa na mbwa, unawahi hospitali Ili Sumu iondokewe.
Wewe pia unahitaji msaada sababu tukio/ shambulizi limeshafanyika.
Muhimu ni ujitenge na mahusiano ya wengi, uwe na ubaki na mumeo mmoja pekee.
Hiyo Inaitwa Roho ya Yezebel inakufuata, alipouwawa, m aandiko yasema mbwa waliokuja na kuramba Damu yake.
Mtu halisi ni ndoto anazoota Kwa kuwa mtu ni ROHO.
Katika kitu chenye madhara katika maisha ya mwanadamu vizazi na vizazi, ni Zinaa.
Ni ameshapigwa tukio, Si kwamba anafuatiliwa,Nzuri na hongera. Roho ta ukahaba kama ulivyosema inamuandama huyo.