katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k.
Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k.
Nimewahi kumjua Mhitimu wa degree alieamua kufanya kazi ya ulinzi 2017, Kuna nyumba alikuwa analinda ya kigogo wa taasisi flani, Mtoto wa bosi alirudi likizo kutoka chuo na walizoeana sana hadi kufikia kumpa siri yake ni mhitimu wa chuo, habari ziliweza kumfikia mzee, Baada ya miezi minne kuna siku bosi karudi jioni akamwambia kesho unipe cv yako na copy za vyeti, Mlinzi alistuka sana kujua habari zilimfikia bosi akaamwambia punguza presha. alienda kuandika written interview akapenya kwenye oral, baada ya wiki anapigiwa simu kapata kazi lakini ipo mkoani kama yupo tayari 😀😀 wala hakujiuliza mara 2 alikubali fasta, Leo hii huwezi kumdhania