Yeah alipiga hesabu bati 177 mwisho wa siku zikatumika bati 155. Zikabaki bati 22 na kila bati nilinunua 37,000/=
Shilling laki nane wakanitia hasara ambayo walau ningechonga hata ma grill.
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Injinia anayejenga kisima cha futi 12 kwa kutumia mifuko 84 ya cement, kweli?Tumieni wataalamu mnatuona wanoko! Sasa hiyo laki 8 si ingetosha kabisa kuweka injinia wa part time awe anakushauri kadri ujenzi unavyo endelea?
Wez hao balaaHawa mafundi kuna wakati wanatia hasara sana, anaweza kukupigia makadirio ya vifaa vya kujenga, aidha kubwa sana au ndogo sana kulingana na uhalisia.
Unakuta umepigiwa gharama ya mifuko 50 ya simenti kumbe inatakiwa 80 tofauti kubwa kabisa na umejipigapiga umeanza ujenzi inaishia katikati mnasimama ujipange maana hukua umetarajia.
Au anakupigia nondo 15 kumbe zinatakiwa 7 unajikuta zinabaki unaanza kuuza kwa bei ya hasara, wengine mabati nk.
Umwahi kutiwa hasara gani na fundi wakati wa makadiro?
Baadhi yenu mainjinia ndiyo munachangia sana kwenye kututia hasara. Huwa hamupiti kazini mafundi wanafanya wapendavyo halafu siku unayopita unaanza 'bomoa hapa umekosea' sasa jee hiyo ni sawa?Tumieni wataalamu mnatuona wanoko! Sasa hiyo laki 8 si ingetosha kabisa kuweka injinia wa part time awe anakushauri kadri ujenzi unavyo endelea?
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaniambia anaweza kupiga ripu nikamuelewa kumbe ni mpiga ripu za utope kurudi namkuta ananiambia tusubilie cement ikauke ndipo ang'alishe..
Kesho yake narudi namkuta anahaha kurekebisha namuuliza fundi vipi.? eti itabaki hivyo hivyo, bado kidogo nimtandike vibao nikamtimua kama kuku..
mifuko yangu miwili ya cement ikafa dadeki...
Huyu fundi hujamtendea haki.Wacha kabisa hawa mafundi...
Wakati napauwa fundi alisema leta mbao kiasi flani nikaja na ileile idadi yake na mikaongeza hapo kidogo tena, fundi kapiga mbao plus na ile idadi yngu bado mbao zinahitajika kama PCs 15, kumuuliza anadai hajawahi fanya site kama hii
Wacha kabisa hawa mafundi...
Wakati napauwa fundi alisema leta mbao kiasi flani nikaja na ileile idadi yake na mikaongeza hapo kidogo tena, fundi kapiga mbao plus na ile idadi yngu bado mbao zinahitajika kama PCs 15, kumuuliza anadai hajawahi fanya site kama hii
Hakika mkuu amewafanyia kitendo kibaya sana kaz zenyewe ngumu usimlipe mtu kisa kakadiria vibaya huo ni unyama hapaswi kujisifia hapaHuyu fundi hujamtendea haki.
Cha muhimu wewe hakikisha hujaibiwa materials, zote ziingie kwenye nyumba yako. Lakini mtu kutoka jasho na anaondoka bila kulipwa sio sahihi kabisa na Mungu aliyekupa uwezo wa kujenga hawezi kufurahi. Hao vibarua wamekukosea nini mpaka wafanye kazi bila malipo.
Hii story yako imeniuma sana.
Kuna mahali huwa nanunua material kwa wholesale bei rahisi sasa huyu fundi yeye ananipeleka kwa retail alafu anataka gharama ziwe zangu kwavile yeye ni mjengaji na anasema faida ni yakwangu, nani kakudanganyaIla mkuu ulimkosea sana jamaa we ungemlipa tu aisee...
Wakati napiga bati na jirani yangu akawa ana Piga basi fund kanipa makadilio ya mbao 2*2=200 na 4*2=250
Basi Mimi nikanunua kwakupunguza 150 kwa200... Zikapungua kama 25 na 30 hiv Jiran yangu zimebak kama 50 kwa 50 hiv nikazinunua kwa bei ya hasara sana Mana bei ya kupiga dawa na ya usafir sikuhusika nayo kabisa....
Materials bora uongeze kuliko yabakie mkuu unaweza ukakosa wa kumuuzia kaka...kama Jiran mambo kibao kabak nayo
Sometimes unabidi uwe capitalist ili mambo yako yaende ukiwa socialism braa wewe utakuwa nimtu wakusema mungu atanilipa tuuHuyu fundi hujamtendea haki.
Cha muhimu wewe hakikisha hujaibiwa materials, zote ziingie kwenye nyumba yako. Lakini mtu kutoka jasho na anaondoka bila kulipwa sio sahihi kabisa na Mungu aliyekupa uwezo wa kujenga hawezi kufurahi. Hao vibarua wamekukosea nini mpaka wafanye kazi bila malipo.
Hii story yako imeniuma sana.
Mafundi wengi wa kitaa kusoma ramani hawajui.Huu ushamba wa kusoma ramani si nikanunua ramani ya vyumba 4 mbili master? Wakati sipo nkamuachia fundi na wife wakajenge msingi kuja kurudi nakuta boooonge la nyumba na msingi umekula 10+M saivi nimetulia kwanza maana hii nyumba ntapandisha vipande vipande [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh pole sana hata mm yalinikuta hayo alizidisha bati 18 na kila bati 39000Yeah alipiga hesabu bati 177 mwisho wa siku zikatumika bati 155. Zikabaki bati 22 na kila bati nilinunua 37,000/=
Shilling laki nane wakanitia hasara ambayo walau ningechonga hata ma grill.
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app