Umewahi kupata Hasara gani kutokana na Fundi Ujenzi kukosea makadirio ya Vifaa?

Mbona kawaida gypsum kuzid mbil,bat moja
 
Lakn kama fund ni bora hesabu izid kidogo mwisho mnaweza uza mkalipana
Sasa kila tym unayumba makadirio
 
Mbona kawaida gypsum kuzid mbil,bat moja
Ni baada ya Mimi mwenyewe kujiongeza kutokana na uzoefu na kupunguza ye aliweka mf:bati 110 wakati zinahitajika 87 gypsum 35 wakati ni 30 ndio zilikuwa halisi mikanda 52 mi nikachukua 40 na ilitosha
 
Ni baada ya Mimi mwenyewe kujiongeza kutokana na uzoefu na kupunguza ye aliweka mf:bati 110 wakati zinahitajika 87 gypsum 35 wakati ni 30 ndio zilikuwa halisi mikanda 52 mi nikachukua 40 na ilitosha
Ila ipo sana kuna mafund wazur ila hesabu za material hakuna kitu
 
Yaaap kwa upande wa maruerue ktk site inawezekana kabisa na ukicheza wanaokufanyia hicho kitendo utajikuta mnagawana nusu kwa nusu. Yani unamaliza ujenzi na yeye anamaliza ujenzi. Haaaaa duniani kuna mambo. Kwa upande mwingine yawezekena hakukuwa na uangalizi hivyo ulikuwa unapigwa. Ila yawezekena pia fundi hakuwa mkadiriaji mzuri. Ila la miujiza usilidharau, hata tofali unaweza kujikuta unagawana na wananzengo bila wewe kujua ingawa si lakutilia maanani 💯% ila lipo usidharau alichokuambia fundi.
 
Umenikumbusha kuna jamaa yangu aliukuwa na site moja sema yeye akawa yupo nje akawa ameniomba nimsimamie nyumban yake.. ikafika kipindi cha tiles nikapiga hesabu na fundi mwisho nikaongeza box 32 za tiles, mara pap jama akatuma ela nilichofanya kwenye hiyo idadi izo box nikaenda malizia eneo lililobaki nyumbani lililohitaji tile's....

Usipokuwa mjanja fundi anajenga na wewe tofali moja kwako moja kwako kufumba na kufumbua mnapauwa nae
 
Ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…