Mm nasikitika sana. Na huwa ni maamuzi yangu naandikiwa dawa. Naamua kuzitupa nakunywa maji ya kutosha na mazoez mepesi na hupona. Labda tatizo serious nakunywa. Nadhani nimekwepa madhira mengi kwa kuepuka kunywa dawa ninazotilia shakaWadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
Sijawahi pata madhara yoyote!