Umewahi kupatwa na tukio kama hili? Moto wateketeza nyumba na mali za wapangaji

Umewahi kupatwa na tukio kama hili? Moto wateketeza nyumba na mali za wapangaji

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, na kusababisha hasara kubwa ya mali za wapangaji waliokuwa wakiishi humo.

Hapa kama ni kijana anayejitafuta amebaki mweupe na anaanza moja tena🥺

​

 
Back
Top Bottom