Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Mimi mara ya kwanza aseee nilikatiza jirani na Marie Stopes nikiwa na mishe Zangu tu
Huku na kule ghafla mhudumu wa hapo kaniita ilikuwa nafikiri kipindi chao maana nilikuta maturubai nje? Na viti vingi vingi hivi
Kaanza kunishawishi hapo weee na story nyingi! Dah! Nikaona isiwe ishu nikapewa kikaratasi nikaandikwa jina nikazama ndani
Hapo roho haipo inadunda kama nini! Lakini mwisho wa siku nashukuru MUNGU nikakutwa fresh?
Je, wewe mwenzangu ilikuwaje? Hali yako siku hiyo sasa