32
(Nimefata post ya kwanza kasema moja nami nimeweka 2 au nimekosea!!!)
US To Tz, ila sio moja kwa moja na sio 25, ni 23/24 hiviToa mrejesho, masaa 25 ukitokea wapi
Nilitaka kujibu 3 kumbe ni mambo ya ndege?. Mi nazionaga tu you tube.2
(Nimefata post ya kwanza kasema moja nami nimeweka 2 au nimekosea!!!)
Andika kutoka Chunya USA hadi Ndebhelwa Tanzania.