kamarah1320
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 295
- 300
usehesabu na masaa ya trasit mkuuNilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Duh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airwaysNilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Mh mjumbe umeniacha mdomo wazi akiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuna komenti wapi sisi ambao hatujawahi kuchenga mawimbi kwa mkuyati wa chuma...!!??[emoji45] [emoji45]
Daaaa mnatutamanisha sisi wa fastjet Mbeya-Dar saa1 tu.Dar-Doha-Singapore- Sydney- New Zealand..Dah masaa kama yote
😀 usijali kusafiri masaa mengi wala si raha.. hivi fastjet kwenda Mbeya bado ipo
Mh mjumbe, pamoja na kwamba nilisha kuahidi kuto kukuangusha..... Lakini kwa leo naona maji yamezidi unga, na huku Ushirombo ndege hakunaga....tehteehhMh mjumbe umeniacha mdomo wazi akiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mh mjumbe kuchutama ni busara zaidi katika utekelezaji wa majukumu yakoMh mjumbe, pamoja na kwamba nilisha kuahidi kuto kukuangusha..... Lakini kwa leo naona maji yamezidi unga, na huku Ushirombo ndege hakunaga....tehteehh