Labda nilipanda ndege namba TZA au ilibadili route ikiwa anganiInaonekana brake zilikuwa zinanasa sana
Maana najua ni masaa 7:25 tu umetua Istanbul
Sent from my SM using Tapatalk
😀 nadhani hakapo😂😂😂 Ndege hiyo balaa inakutoa Africa inakupeleka Asia kisha inakupeleka ulaya kisha Australia duh! kwenye mabasi kuna kamsemo chetu cha kufaulishwa na kwenye ndege kapo?😂😂😂
Hilo nalo linawezekana hahaha
Uza Kamongo upande ndege..hahahaaSijawahi kupanda ndege kwakweli.
Ili?
Duh!Eti nasikia JF karibia kila mtu ameshawahi kupanda ndege, sisi wengine mateja tukikatiza tu eapoti tunadakwa na mbwa wanusa dawa🙄
under/over??
Jo'burg-Sydney, hiyo route si chini ya masaa 15 jombaaNilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Sydney-Bangkok-Addis Ababa-Accra niliamua kuwa mpole tu, maana masaa 24 unaning'inia angani tuDar-Doha-Singapore- Sydney- New Zealand..Dah masaa kama yote