Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

Nahisi yatakua masaa15 mana nina mpango wa kusafiri kutoka kigoma hadi hukoo Nchi za mbali mbali hukoo..kama Kenya hivi au Uganda. ..., nikipata hela lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Nchi naikubali sana hiyo!ipo siku nitafika, Inshallah!
 
😂😂😂 Ndege hiyo balaa inakutoa Africa inakupeleka Asia kisha inakupeleka ulaya kisha Australia duh! kwenye mabasi kuna kamsemo chetu cha kufaulishwa na kwenye ndege kapo?😂😂😂
Mbona route iko sawa tu Mkuu? Hakuna mji wa ulaya hapo, ni AFRIKA-ASIA-Australia
 
Dunia ya ajabu sana Italy jua linazama saa nne usiku nilishangaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…