Umewahi kushirikishwa kuchagua miradi ya maendeleo katika eneo lako?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124

Kanuni ya 168 (1)(a) ya Kanuni za Manunuzi wa Umma za Mwaka 2013 inataka ushiriki wa jamii katika kubuni miradi kwa nia ya uendelevu au kufikia malengo husika ya kijamii ya miradi.

Ripoti ya CAG imeeleza, hakukuwa na ushahidi wowote unaoonesha ushiriki wa jamii husika katika uchaguaji wa mitadi katika Halmashauri mbalimbali

 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…