Umewahi kusikiliza story za vijiwe vya bodaboda?

Umewahi kusikiliza story za vijiwe vya bodaboda?

Vipi kuhusu vyakula,hua wanapenda vyakula gani hasa?

😀
Kama hujagundua basi chukua hii, vijiwe vya bodaboda mara nyingi hua located kwenye maeneo ya karibu na mama ntilie. Hii huwarahisishia huduma ya chakula na mara nyingi wakula kwa bill, yaan atapewa msosi wowote na malipo yatafanyika wakati wowote sio lazima kwa muda huo.
 
Kuna boda waliutwa petrol station wakajaziwa mafuta ilikua ziara ya katibu mkuu wa ccm , nikakutana nae namuuliza kiutani naona leo uko full tank akajibu, sijui wamesema tukampokee nani anakuja ni kama mbunge au diwani wa mbelembele huko, nilicheka sana
😂😂😂😂 hadi raha, Kuwa mjinga ni raha sana.
 
Ikumbukwe pia, bodaboda ndio mmekiharibu kizazi cha 2000 na kupelekea kionekane cha hovyo.
Mnatusingizia tuu...vizazi kibao vimekuwa vya hovyo. Vingekuwa vya akili leo hii tungeshakuwa dona kantriiii
 
Hawa watu sikuwa nawaelewa vizuri kuna siku nilikwenda na boda kwa mwanangu mmoja kwenye appartment yake nikamkuta ana mgeni anataka demu kwa ajili ya mgeni wake, basi si yule boda akasema anaenda kumletea demu, alikuja na pisi moja ya ukweli ka kavienezuela, jamaa mwenyeji akaghairi mate yalimtoka anamtaka yeye.

Sasa wakati tunarudi nikawa namdadisi alinieleza vitu vingi sana ambavyo sikutalajia kutoka kwake.
 
Kama hujagundua basi chukua hii, vijiwe vya bodaboda mara nyingi hua located kwenye maeneo ya karibu na mama ntilie. Hii huwarahisishia huduma ya chakula na mara nyingi wakula kwa bill, yaan atapewa msosi wowote na malipo yatafanyika wakati wowote sio lazima kwa muda huo.
Hii kweli kabisa mkuu sikupingi
 
Bodaboda kwa kulelewa je hamjasema mpk machuma wananunuliwa ila sio watu wakujenga familia wanajiita chapa ilale
 
Hao boda wa singeli watakuwa wa dar
Kuhusu taarifa za wake na waume za watu bodaboda hawajambo
 
Hawa watu sikuwa nawaelewa vizuri kuna siku nilikwenda na boda kwa mwanangu mmoja kwenye appartment yake nikamkuta ana mgeni anataka demu kwa ajili ya mgeni wake, basi si yule boda akasema anaenda kumletea demu, alikuja na pisi moja ya ukweli ka kavienezuela, jamaa mwenyeji akaghairi mate yalimtoka anamtaka yeye.

Sasa wakati tunarudi nikawa namdadisi alinieleza vitu vingi sana ambavyo sikutalajia kutoka kwake.
Hahaha chukua hii, ukienda popote na ikifika mida ya usiku na hutaki kulala kinyonge we waone wale boda wanaopak karibu na viwanja vya kulia bata.

Wape sifa tu za manzi unaemtaka waelekeze na lodge uliyofikia, jamaa wanafanya delivery na utapokea mali safi kulingana na mahitaji yako.
 
Yani sikuwahi kufikiria kama yule mshkaji anaweza kuwa na access na malaya first class na akamsikiliza na kumleta sehemu.
 
Wakati singeli inaanza bongo kwenye miaka ya 2010's huku maproducer wa mtaani wakitumia sampling za kwenye visual DJ. hakuna media iliyokua tayari kuupokea mziki huu kutokana na nature ya production lakini pia maudhui yake, ikumbuke walisample beat za taarabu mara nyingi, sasa kilichotokea ni kwamba bodaboda ndio waliupeleka huu mziki mjini kwa kuupiga sana kwenye pikipiki zao na kwenye vigodoro.

Ikumbukwe huu mziki ni wa uswahilini na ulisapotiwa sana na kizazi cha uswahilini ambacho 90% ndio kimezaa hawa bodaboda.

Mwisho kabisa wasanii wa awali wa singeli walikua ni mabodaboda na ma dj wa vigodoro achana na hawa wasanii wa mainstream waliokuja kucheza na fursa baada ya kujua kuna wimbi kubwa la mashabiki kwenye aina hii ya mziki.
Naam hapo nimekusoma
 
Usinipe 5000, nataka 2000 tu
mbona ndomboloo nyingi
ilete sasa uchukue hizi bukubuku
IMG_20240617_102604_160.jpg
 
Back
Top Bottom