Umewahi kusikiliza story za vijiwe vya bodaboda?

Vipi kuhusu vyakula,hua wanapenda vyakula gani hasa?

πŸ˜€
Kama hujagundua basi chukua hii, vijiwe vya bodaboda mara nyingi hua located kwenye maeneo ya karibu na mama ntilie. Hii huwarahisishia huduma ya chakula na mara nyingi wakula kwa bill, yaan atapewa msosi wowote na malipo yatafanyika wakati wowote sio lazima kwa muda huo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi raha, Kuwa mjinga ni raha sana.
 
Exactly!!! Boda wanajua mengi mno.
Mengi ya maana au ya hovyo?Kwa mfano kuuwa sijuwi mke wa fulani anaenda gest kwani ni issue ya maana hadi tuwape maana huo. Boda boda ni bomu lino subiri kulipuka.
 
Ikumbukwe pia, bodaboda ndio mmekiharibu kizazi cha 2000 na kupelekea kionekane cha hovyo.
Mnatusingizia tuu...vizazi kibao vimekuwa vya hovyo. Vingekuwa vya akili leo hii tungeshakuwa dona kantriiii
 
Hawa watu sikuwa nawaelewa vizuri kuna siku nilikwenda na boda kwa mwanangu mmoja kwenye appartment yake nikamkuta ana mgeni anataka demu kwa ajili ya mgeni wake, basi si yule boda akasema anaenda kumletea demu, alikuja na pisi moja ya ukweli ka kavienezuela, jamaa mwenyeji akaghairi mate yalimtoka anamtaka yeye.

Sasa wakati tunarudi nikawa namdadisi alinieleza vitu vingi sana ambavyo sikutalajia kutoka kwake.
 
Hii kweli kabisa mkuu sikupingi
 
Bodaboda kwa kulelewa je hamjasema mpk machuma wananunuliwa ila sio watu wakujenga familia wanajiita chapa ilale
 
Hao boda wa singeli watakuwa wa dar
Kuhusu taarifa za wake na waume za watu bodaboda hawajambo
 
Hahaha chukua hii, ukienda popote na ikifika mida ya usiku na hutaki kulala kinyonge we waone wale boda wanaopak karibu na viwanja vya kulia bata.

Wape sifa tu za manzi unaemtaka waelekeze na lodge uliyofikia, jamaa wanafanya delivery na utapokea mali safi kulingana na mahitaji yako.
 
Yani sikuwahi kufikiria kama yule mshkaji anaweza kuwa na access na malaya first class na akamsikiliza na kumleta sehemu.
 
Naam hapo nimekusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…