Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?


Nashukuru nipo kwenye First Eleven! BAK anajua mimi ni Kiungo Mkabaji hasa hapo kwenye Mid of the Park
 
Yani AD mimi simo?Haya bwana...ngoja nitoke humu nimekosea mlango!
 
Hivi naomba kuuliza,
Rev.Masa na Lizzy Masa ni mtu na nani wake?..i hope this is not name calling..lol!
 
Tulia, bado uko kwenye banda la simu? basi chukua nambari 19

I wish!Nimetolewa baruti....i'm on the run!Na hiyo namba siitaki..yani niwe no.19 kati ya 19?Ntaleta yangu nijiweke juu kama mawingu!
 
Yani unaonyesha napendelewa live mpaka kila mtu ajue!Kwaherini!

we bibie sitaki laana za Rev..
borea nisema ninachokifanya kabla sijafanya hahahah lol
samahani mwaya...
sala za Rev zime sikika...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…