Habari wana jamiii, jamani mume au mke anauma sana hasa kuchapiwa huku ukijua, mm namshauli huyu jamaa akawaambie wazazi maana kama kaka mtu zipu yake mbovu familia nzima inajua hilo kwa hiyo aweke kikao na mkewe akiwepo
Baada ya hapo achunguze kinachoendelea,
,Kuna kisa kimoja ilikuwa hivi,
Musa alikuwa na rafiki ambae mpenda wanawake anaitwa said ,sasa said akawa anamtongoza mke WA musa ,mke musa akamwambia musa kwamba said ananitongoza ,musa akamwambia mkubalie na kisha upange nae kukutana mahali Fulani mm nitakuja kuwakamata mke musa akakubali,mwisho wa cku windo likaingia mtegoni sasa baada ya mke WA musa kuingi gesti na said musa akiwa anaju kila kitu nae akawa anakwenda kweny fumanizi
Mwanamke akijua muda wowote jamaa anaingi musa kwa haraka alikowa nayo alikuwa anaendesha gari hovyo na kwa kasi sana akakamatwa na polisi malumbano yalikuwa marefu mapaka wakafika polis ndio akaachiwa ,kula mwanamke akashindwa kujitetea akaliwa bila kinyongo musa anafika geati said ameshaondoka mkewe ndio anajaindaa kuondoka alipouliza kulikoni mwanamke akasema nimeona unachelewa nimemwambia leo nipo ktk cku zangu ameindoka tumepanga cku nyingine,toka cku ile musa hakusikia teeeeena kuhusu habari za said kwa mkewe, [hayo majina sio ya wahusika ni ya kutunga tu]
Sent using
Jamii Forums mobile app