Umewahi kutahadharishwa na mkeo au mumeo kuhusu kuwa makini na ndugu yake na bado haikusaidia?

Watu kama hawa hatimaye utasikia wamechukua maamuzi magumu yasiyotarajiwa.
 
Pole sana...

Mtu mzima hatishiwi nyau.. Vile unayomkanya kila mara, unampa shauku kubwa ya kutaka kufahamu na kujaribu haswa unachoogopa nini...



Cc: mahondaw
Kuna Watu wakimuweka Mwanamke kwenye 18 hachomoki....possibly na Kaka yake Alan ni wa aina hiyo.
 
Alan aache ubwege, asimame kama dume apambane, ikibidi amzuie Kaka yake asifike kwake.
 
ni bora uchapiwe na mdogo wako wa damu kuliko mtu baki.

Zimwi likujualo halikuli likakwisha!!
 
Alafu kuna mindugu ya ajabu sana hapa Duniani.


Na kuna wanawake wa ajabu sana hapa Duniani.


Unaweza kula mke wa Nduguyo?? ..unawezaje kubali kuliwa na Kaka wa mumeo ??


Mauaji hayataisha.
 
kweli watu tuko tofauti aisee.

yaani mimi katika swala ambalo nitalipokea kwa mikono miwili,ni mke wangu kutoka na kaka yangu.

nitakachofanya ni kumtaarifu shemeji tu basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole nyingi kwa Musa, Ila mke wa Musa aliamua kulinda Ndoa na nina imani mchezo huo unaendlea ndo maana hakukuwa na kesi zaid ya palee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndo ilitokea kwa jamaa mmoja wa kanda ya kaskazini ambao wanapenda kuacha wake zao vijijini kisha wao wako mjini wanatafuta pesa huwa wanarudi mwezi wa 12 tu kila mwaka.

Basi jamaa kuna siku akapigiwa simu na mama yake mzazi kuwa aje amchukie mkewe la sivyo baba yake atamtia mimba, jamaa akatii wito akaenda kumchukua mkewe na kuja nae mjini.

Chakushangaza baada ya wiki baba kafunga safari kaja mjini eti kuwatembelea, jamaa hata hajui amtimue mzee wake au afanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh, huu ndio wakati wa kumkataa Baba yako Mzazi.
 
Mke Wa mussa akawa amenogewa na mapigo ya saidi kwahyo akaendelea kuliwa kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…