BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo.
Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio jirani unayelalamikiwa hapa?😀😀😀