Pole_nilikuwa napatwa na hali hiyo zaman sana. ni Jinamizi. ni mdudu mwenye mkono wenye vidole viwili hukukaba koo kwa vidole hivyo viwili
anajua kabisa. tena fasta
mimi nikinikipwa na hali hiyo nasoma aya tuh kursii yanaachia
Unajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili
(1) je hii ni hali ya kibailogia au ni mapepo na mashetani?
(2) je ikitokea ukashindwa kupambana kuamka utakufa?
(3) je ukiwa katika hali kama hiyo mtu akaja kukuamsha kwa kukutingisha nini kitatokea..
(4) je nini husababisha..
Hata mimi huwa inanitokea mara moja moja kwa mwaka hasahasa ninapo kuwa nimelala chali yaani nimelalia mgongo.
Nashukuru kama nitapata majibu
Pole_nilikuwa napatwa na hali hiyo zaman sana. ni Jinamizi. ni mdudu mwenye mkono wenye vidole viwili hukukaba koo kwa vidole hivyo viwili
anaua kabisa. tena fasta
mimi nikinikipwa na hali hiyo nasoma aya tuh kursii yanaachia
Kama umewahi kulala kisha ukaota kuwa upo sehemu umekabwa au kuna hali imekaa kooni kwako kisha sauti haitoki basi tambua hilo ni pepo, au ni wachawi walikuwa wanakukaba.
Usiku mwema.
All of the aboveUnajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili