TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 2,926
- 3,530
Unajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili
(1) je hii ni hali ya kibailogia au ni mapepo na mashetani?
(2) je ikitokea ukashindwa kupambana kuamka utakufa?
(3) je ukiwa katika hali kama hiyo mtu akaja kukuamsha kwa kukutingisha nini kitatokea..
(4) je nini husababisha..
Hata mimi huwa inanitokea mara moja moja kwa mwaka hasahasa ninapo kuwa nimelala chali yaani nimelalia mgongo.
Nashukuru kama nitapata majibu