Umewahi kutokewa na hali kama hii ulipokuwa umelala?

Daaah ndugu kama umenilenga mm vle maana hata leo asubuhi imenitokea!....ni hali ya kutisha sana na hunitokea mara kwa mara...nataman sana kujua chanzo lkn sijapata msaada...yaan hua inatisha sana na haizoeleki. Mara nying msaada mkuu kwangu ni kukemea tu kwa Jina La Yesu pindi inapotokea....inatisha.
 
Mi iliaza kunitokea wakati npo o-level kuna mkuu wa shule alikua mkali tunamuogopa sn nkawa km naota ivi anakuja ndipo hali iyo ikanijia toka apo adi chuo ikawa nabanwa na iyo hali adi sasa..mwaka huu imeshanitokea pia ingawa sio mara nyingi..ikinitokea hua naita jina la Yesu nasema "Bwana Yesu nisaidie" au nasema maombi yeyote yale yanayomhusisha Bwana Yesu na mara naachiwa....inatisha sn iyo hali ilifka kipindi ikawa nalala na biblia mchagoni....
 
Mwili unakua umerest na kujilinda na unaposhtuka ghafla unaanza kugain nguvu taratibu mpaka pale nguvu zinapokurejea kamili.... Haina cha jinamizi wala mchawi na mechanism za mwili... Hebu fikiri kama mwili ungekua una react kutokana na NDOTO tuziotazo wangapi wangekua na majeraha ya NDOTO au kupata vifo kutokana na kushtuka ndotoni?? Ubongo wa binadamu una uwezo mkubwa sana...
 
Ni wachaw hao. Mm zaman ilikua inanitokea sana. Bt nikisali hali hiyo huwa inaniachia.
 
Wakiti hii hali inatokea kuna upande ambao huwezagi kuuangalia hata kidogo..sasa huo upande ndio wenye mambo yote...ukiwa na uwezo unaweza kuuona na ukiangalia kwa haraka utagundua vitu vingi.
NOTE:Ni kwa wale wenye uwezo kama huna usijitutumue unaweza kupotea!!!
 
Uwezo wa aina mkuu?
 
Pole_nilikuwa napatwa na hali hiyo zaman sana. ni Jinamizi. ni mdudu mwenye mkono wenye vidole viwili hukukaba koo kwa vidole hivyo viwili


anaua kabisa. tena fasta

mimi nikinikipwa na hali hiyo nasoma aya tuh kursii yanaachia
nightmare husababishwa na ulalaji mbaya, hamna cha jini yunus wala sura ya lahat
 
Ndo ivo kumbe??? Kumbe hamna cha uchawi eh???? Natamani ufunguke zaidi mkuu
 
dah yaani mimi natamani sana hali hiyo initokee kila siku, tamu sana hiyo, hapo unanyanyuka unaenda kuzurura downtown
 

Mkuu hebu elezea vizuri kwa undani.. hali hii huwa inanitokea sana halafu huwa naishia kupiga kelele....kuweseka.. i cant move any party of my body.
 
Mkuu hebu elezea vizuri kwa undani.. hali hii huwa inanitokea sana halafu huwa naishia kupiga kelele....kuweseka.. i cant move any party of my body.

dada hali hiyo ikikutokea usipige kelele wala kupata wasiwasi, heku pitia kule intelijensi tafuta uzi wa astral projection, kama hujaelewa uliza
 
Hii ni kawaida sana sifahamu kisayansi inatokeaje lakini mara kwa mara huwa inatokea unapokuwa umeshiba kupita kiasi usiku. Kuondoa hali hiyo ni kutokula sana usiku na ukipenda fanya utafiti kwa kula sana usiku kabla ya kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…