gerry ZaNtes
Member
- Jan 1, 2014
- 25
- 13
Daaah ndugu kama umenilenga mm vle maana hata leo asubuhi imenitokea!....ni hali ya kutisha sana na hunitokea mara kwa mara...nataman sana kujua chanzo lkn sijapata msaada...yaan hua inatisha sana na haizoeleki. Mara nying msaada mkuu kwangu ni kukemea tu kwa Jina La Yesu pindi inapotokea....inatisha.