Ninavyotambua Mimi,Mara nyingi mtu akilala chali halafu kwa bahati mbaya au nzuri kama ndio ulalaji wake mdomo ukawa wazi,hujikuta anapumulia mdomo,sasa kwenye koo hujaa maji/mate jambo ambalo litakufanya kuhema kwa shida sana na kuhangaika,na wakati unatapatapa kuna mambo mawili hutokea. Kwanza ni kuamka kwa ghafla na kumeza mate huku jasho limekutoka na macho kama mwizi lakini pili, hujukuta unakohoa kwa nguvu na kushtuka usingizi bado lakini utakunywa mate