Umewahi kutokewa na hali kama hii ulipokuwa umelala?

Umewahi kutokewa na hali kama hii ulipokuwa umelala?

Ninavyotambua Mimi,Mara nyingi mtu akilala chali halafu kwa bahati mbaya au nzuri kama ndio ulalaji wake mdomo ukawa wazi,hujikuta anapumulia mdomo,sasa kwenye koo hujaa maji/mate jambo ambalo litakufanya kuhema kwa shida sana na kuhangaika,na wakati unatapatapa kuna mambo mawili hutokea. Kwanza ni kuamka kwa ghafla na kumeza mate huku jasho limekutoka na macho kama mwizi lakini pili, hujukuta unakohoa kwa nguvu na kushtuka usingizi bado lakini utakunywa mate
 
Kitaalam ubongo kazi yake n kusolve na kuna sehem km 3 nnazojua kw elim yng ndogo!kuna celebral cotex hii kaz yke ni kutunza memory na kufikiria kufanya mahesabu etc.ila kuna part of your brain called amygdala hii bana kazi yake ni kuachia adrenaline ktk mwili hasa inapotekea hatari km umeona simba au jini hapo adrenaline inaenda ktk misuli moyo unaskuma dam kwa kasi pumzi zinapanda unapata fight or flight yaan upambane au ukimbie yaan hapo batani ikashabonyeza unaweza kupita shm ukashangaa!.sema huwa inafanya makosa sn hii amygdala inaweza kutishika ht kw kuangalia muvi n ukatishika sbb ynyw kaz yke ni kukuweka mbal n hatari bila kujal ni kwel au uongo.kesho taelezea mfumo mwngne
 
Back
Top Bottom