Umewahi kuuziwa Ardhi mara 2, au kuuziwa eneo la uvamizi?

Umewahi kuuziwa Ardhi mara 2, au kuuziwa eneo la uvamizi?

Uchawi upo lakini hauendi kwa mentali ndio kauli mbiu yetu.

Aliyeuza kaama mji baada ya kuniuzia mimi kwa kunitapeli asee nilimfunga yule mama na uchawi wake.

Baada ya kumaliza kifungo ikaja kesi ya madai sasa kaona isiwe tabu nyumba kafunga kaenda kwao HANDENI.
 
Hapa Sqm 400 ni million 4
Kuna vyenye Hati sqm 600 million 5.5
Chenye Hati sqm 600 million 7
Inategemea na umbali toka moro road
0744757738
IMG_20230901_112203_612.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu nimeuliza hv coz hawa wauza viwanja wanatabia ya kuwapa watu documents za serikal ya mtaa kwa madai ya kuwa ni Hati
Certificate of Occupancy inatolewa na Wizara ya Tanzania tu.

Hizo Serikali za Mitaa ndo unaenda nunua ugomvi
 
Back
Top Bottom