- Thread starter
- #21
Kuna cha sqm 600 shilingi million 5.5Bei zenu zipoje?
Sqm 1100 million 10...km 3 toka moro road
Sqm 400 shilingi million 6.5
Kilomita 1 toka moro road
0744757738
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna cha sqm 600 shilingi million 5.5Bei zenu zipoje?
Serikali ya kijiji inatoa customary certificate of occupancy na ina hadhi sawa na ya Wizara. Tena hiyo ndiyo bora zaidi kwa sababu inaweza kuwa ya miaka 33 mpaka indefinite.Certificate of Occupancy inatolewa na Wizara ya Tanzania tu.
Hizo Serikali za Mitaa ndo unaenda nunua ugomvi
Kwamba Dar utaikuta hiyo ya Kimila?Serikali ya kijiji inatoa customary certificate of occupancy na ina hadhi sawa na ya Wizara. Tena hiyo ndiyo bora zaidi kwa sababu inaweza kuwa ya miaka 33 mpaka indefinite.
Dar es salaam kuna vijiji ambavyo vipo chini ya serikali ya kijiji.Kwamba Dar utaikuta hiyo ya Kimila?
Kibaha maeneo gani mkuu?Pole sana. Karibu kibaha nikupe viwanja vyenye hati kwa bei nzuri
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sema tu mnauza viwanja na siyo kusema mtamshauri mtu bei ya kununulia kiwanjaVizuri kabla ya kununua kiwanja au shamba ukawashirikisha wataalam, mbona mkinunua magari mnatafuta mafundi? uanogopa kutoa Tsh 50,000 wakati unatapeliwa milion 10?
Karibuni Danvast Land and Property kwa Huduma ya kuhakiki eneo unalotaka kununua kabla hujatapeliwa tutakusaidia kufanya uchunguzi wa kina na kukushauri bei ya kununua.
Pia tuna viwanja tunauza sehemu mbalimbali Dar es salaam.
Vinaanzia 1.600,000/
piga simu 0742991105 kwa msaada zaidi.
Umeonaaa, watashauri nn mtu anataka kununua jumba bovu pale Gerezani?Sema tu mnauza viwanja na siyo kusema mtamshauri mtu bei ya kununulia kiwanja
Hao nao ni matapeli tu kama matapeli wengine.Umeonaaa, watashauri nn mtu anataka kununua jumba bovu pale Gerezani?
Kuuziwa kiwanja chenye hati siyo sababu ya kutokutapeliwa.Hati zote zinatolewa na Wizara ya Ardhi.
Kama haitoki Wizara ya Ardhi hiyo si Hati
Mbona unapuyanga jamaa yangu.Serikali ya kijiji inatoa customary certificate of occupancy na ina hadhi sawa na ya Wizara. Tena hiyo ndiyo bora zaidi kwa sababu inaweza kuwa ya miaka 33 mpaka indefinite.
Soma comment vizuri, usidandie ndege.Mbona unapuyanga jamaa yangu.
Wenyeviti wa S/M hawana mamlaka kisheria kuuza au kugawa Ardhi.. ila Kikao cha Mkutani Mkuu wa Vijiji. Kama ukiwa na Muhtasari unaweza kusimamia ukaaema umezingatia sheria na at least una document yenye meno... Ila hii kujiandikia na mwenyekiti na Wajumbe na Diwani mara Mtendaji ni kujilisha upepo. Na usije simama na hayo makaratasi ukatamba ..yatakuhumble haraka sana