Umewahi kuuziwa Ardhi mara 2, au kuuziwa eneo la uvamizi?

Uchawi upo lakini hauendi kwa mentali ndio kauli mbiu yetu.

Aliyeuza kaama mji baada ya kuniuzia mimi kwa kunitapeli asee nilimfunga yule mama na uchawi wake.

Baada ya kumaliza kifungo ikaja kesi ya madai sasa kaona isiwe tabu nyumba kafunga kaenda kwao HANDENI.
 
Ni kweli mkuu nimeuliza hv coz hawa wauza viwanja wanatabia ya kuwapa watu documents za serikal ya mtaa kwa madai ya kuwa ni Hati
Certificate of Occupancy inatolewa na Wizara ya Tanzania tu.

Hizo Serikali za Mitaa ndo unaenda nunua ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…