Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kiafya sio nzuri asubuhi nimepata matatizo ya tumbo. Bora hata wangekuwa wanachemshaNimewahi sio mara moja.
Kwenye maduka yanayofanya hivyo wengi huuza maji ya bomba ujazo wa 1 L to 1.6 L kwa tsh 200/= na wanayapack kwenye machupa ya kampuni zinazouza sana.
Tatizo ni kuuziwa ukidhani ni maji halisi ya kampuni fulani kwa bei ile ile ila ukishtuka wanasema bei ya hayo ni mia 2, hii kisheria ipoje maana ni kuharibiana biashara na pia kiafya si salama.
Wanasema wanayachemsha ila sidhani kwa mfanyabiashara huo muda hana.Kiafya sio nzuri asubuhi nimepata matatizo ya tumbo. Bora hata wangekuwa wanachemsha