Umewahi kuwa mhanga au mhusika wa blackmail, Kulazimishwa kumpa anachotaka mtu ambae ana Ushahidi wa kitu ulichofanya ambacho hutaki kiwekwe wazi

Umewahi kuwa mhanga au mhusika wa blackmail, Kulazimishwa kumpa anachotaka mtu ambae ana Ushahidi wa kitu ulichofanya ambacho hutaki kiwekwe wazi

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Mwanzo huwa ni vitisho na kupewa presha juu ya balaa utalokutana nalo wakiweka mambo wazi, kinachofuata huwa ni utiifu wa kutenda wanayotaka, baada ya hapo ule muendelezo wa kutii kila mara mhanga anaanza kuchoka na hata anaetoa amri kuhisi anapata kidogo inabidi apewe zaidi.

mifano:

umerekodiwa kisiri kwenye maongezi ya simu ukimkashifu mtu mwengine mfano boss, alierekodi anakutishia usipo mpa anachotaka anamfowadia boss voice notes, kivumbi utakutana nacho ofisini.

Kupigwa picha ukiwa na mchepuko, unatishiwa usipolipa pesa kiasi kadhaa kila mwezi, picha zitafowadiwa kwa wife, ndoa kuvunjika ni rahisi hapo.
 
Back
Top Bottom