Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Story iko hivi.
Nimewahi kuwa na mahusiano na dada mmoja hivi sasa huyo dada alikua na tatizo moja yeye hajuagi neno msamaha yani kutamka hilo neno ni kwa mbinde sana.
Alikua na tabia ya kupenda kunigeuzia sana kosa, yani kwa mfano akifanya kitu nikaonyesha kukasirishwa nacho badala aombe samahani yeye alikua ananitafutia angle anigeuzie kosa na siku ya mwisho najikuta mimi ndo naomba samahani.
Anaweza kunikosea then mimi nikareact nikakasirika sasa anachofanya ananiuliza "yani kitu kidogo ndo umekasirika hivyo". Then hapo ananuna anasema naona sikufai bora tuachane tu. Na vile nilikua nampenda sana yani basi najishusha sana namwambia ok sorry hata siku nzima ndo napata msamaha na kosa alifanya yeye.
Siku nikasema huyu akirudia tena neno tuachane namuacha mazima kama kuumia acha niumie na kweli siku akanikosea tena kosa kubwa sana akaniambia tuachane nikamjibu fine hakuamini ndo ikatoka hiyo wiki zikakata akarudi kuomba msamaha lakini mi kama bodaboda haina kurudi nyuma.
Je wakuu girls wa aina hii huwa mnaenda sawa nao vipi?.
Sent using Jamii Forums mobile app