Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA.

Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana.

SIFA ZA WATU HAO
1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari.
2.Wakikaribia mazingira ya kukuhitaji wanaanza kusogeza ukaribu kwako.
3.Wanajali zaidi shida zao kuliko zako.
4.Huwa hawapatikani kwako siku ukiwa na shida.

MAAMUZI MAGUMU DHIDI YA WATU HAO.

Ukishajiridhisha kuwa wanakutafuta wakiwa na shida tu basi usikubali kuacha ratiba zako kwa ajili yao ukifanya hivyo mara mbili watakulaumu sana na watasema umebadilika usiogope endeleza msimamo wako huo 😊
 
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA.

Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana.

SIFA ZA WATU HAO
1. Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari.
2. Wakikaribia mazingira ya kukuhitaji wanaanza kusogeza ukaribu kwako.
3. Wanajali zaidi shida zao kuliko zako.
4. Huwa hawapatikani kwako siku ukiwa na shida.

MAAMUZI MAGUMU DHIDI YA WATU HAO.

Ukishajiridhisha kuwa wanakutafuta wakiwa na shida tu basi usikubali kuacha ratiba zako kwa ajili yao ukifanya hivyo mara mbili watakulaumu sana na watasema umebadilika usiogope endeleza msimamo wako huo 😊
 
Kuna muda tujuliane hata hali sio kila tukitafutana ni shida, kuna mtu ukiona simu yake ujue kuna shida kweli.

Kuna wale wa taarifa za misiba yani ukiona simu yake tu unajua tayari huko kuna mtu kashapita na ukali, unapokea tu ujue ni nani.

Kuna wale wa kukopa na wenye uhitaji wa hela, yeye akikucheki tu jua baada ya maongezi ya salamu kifuatacho ni shida ya hela.
 
Hatimaye Chawa tumeshtukiwa na hakuna namna zaidi ya kuendelea kujikomba kwa Mabosi wetu maana ndiyo life styles zetu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Niko selective sana kwenye marafiki lakin sio cheap kuunga urafiki na mtu na nimgumu sana wa kuumpa nafasi mtu kutengeneza urafiki na mimi hii tabia imenisababisha kuwa na marafiki wachache lakin ni marafiki wa ukweli na ni watu makini sana hata upige simu saa 8 usiku umepatwa na shida watapigiana simu wote chap dkk 5 nyingi washafika na mshukuru mungu kwani alinipa marafiki wenye maana kubwa sana kwangu sio wale marafiki njaa au marafiki shida kukutafuta mbaka awe nashida zake Hapana nakutema mchana kweupe
 
Hongera sana
 
Back
Top Bottom