Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Yah nataman kuongeza kitu hapa ila basi hii imekaa vizur tu pia..acha ibaki hivyoMbona Wapo Ila Kama Unaweza Wa Kumsaidia Unawasaidia Unapita Hivi Kupunguza Kufatiliana.
Kweli kabisa maana wanarudisha nyuma mafanikio haeaHuyo sio rafiki, huyo ni kupe mnyonya damu.
Nashukuru Mungu hakuniumba na unafiki, nikihisi tu kuwa wewe ni user nakupotezea haraka sana. Na ninahakikisha unajua kuwa nimejua wewe ni kupe ili usiondoke na dhana.
Hongera sanaNiko selective sana kwenye marafiki lakin sio cheap kuunga urafiki na mtu na nimgumu sana wa kuumpa nafasi mtu kutengeneza urafiki na mimi hii tabia imenisababisha kuwa na marafiki wachache lakin ni marafiki wa ukweli na ni watu makini sana hata upige simu saa 8 usiku umepatwa na shida watapigiana simu wote chap dkk 5 nyingi washafika na mshukuru mungu kwani alinipa marafiki wenye maana kubwa sana kwangu sio wale marafiki njaa au marafiki shida kukutafuta mbaka awe nashida zake Hapana nakutema mchana kweupe
✍️Maisha yana mambo mengi sana.