Umewahi kuwapa habari yako njema kwa watu wako wa Karibu halafu wakaonesha kutokufurahia habari hiyo?

Umewahi kuwapa habari yako njema kwa watu wako wa Karibu halafu wakaonesha kutokufurahia habari hiyo?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo.

Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi.

Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
 
1729692056806.jpg
 
Chema.kwako kinaweza kikawa si chema kwao kama unavyotarajia..lets say ulikuwa na ndoto ya kuanzisha kampuni na ulitamani muda mrefu utakapofanikiwa kusajili ukawaeleza hata hawatashtuka sabau wak wanachotarajia ni wakuone unamapesa tajiri kibopa ndani ya muda mfupi,watu hawawatafurahia mchakato wako wanapenda waone matokeo bila kujali wewe mbeba maono usmestrugle vipi kufikia hapo ulipo people dont care about your struggles and hassles ..Nilichojifunza katika maisha amini ndoto zako pambania ndoto zako ili ukifanikiwa waje wakuulize umewezaje
 
Nilipiga million kwenye mikeka kuwambia watu wote hawakufrahi kabisa😊😊
 
Chema.kwako kinaweza kikawa si chema kwao kama unavyotarajia..lets say ulikuwa na ndoto ya kuanzisha kampuni na ulitamani muda mrefu utakapofanikiwa kusajili ukawaeleza hata hawatashtuka sabau wak wanachotarajia ni wakuone unamapesa tajiri kibopa ndani ya muda mfupi,watu hawawatafurahia mchakato wako wanapenda waone matokeo bila kujali wewe mbeba maono usmestrugle vipi kufikia hapo ulipo people dont care about your struggles and hassles ..Nilichojifunza katika maisha amini ndoto zako pambania ndoto zako ili ukifanikiwa waje wakuulize umewezaje
Umeandika vizuri sana
 
Mshua naona anababaika na mafanikio yangu, dizaini hataki hata kufuatilia wala kuniuliza chochote tena ndo anazid kukata mawasiliano. Ila majirani na wadau wananiambia kila siku anatembeza watu kuwaonesha miradi yangu anajigba sjui au vipi haieleweki
 
Watu wanakusapoti ila mara nyingi wanakuwa wamekuwekea kiwango.

Ukikivuka chuki huanza. Wengi tuna hiyo inahitaji kutambua na kuikemea moyoni na kujiuliza hivi ndugu rafiki akifanikiwa me napungukiwa nini?
 
Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo.

Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi.

Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
bora hao wanaonesha kuto furahia.. Maana after that uta wakwepa. Kuliko wale wanaofurahia kinafiki halafu ukiondoka wana ku mind..

Nakumbuka nilipokuwa form 2..
Miaka ile 90 mwishoni mwishoni...
kutoboa kwenda form three ilikuwa nongwa.. Basi tokeo lime toka kuona nme faulu na nina vigezo vya kwenda science basi mimi mbiooo kwa mjomba... Mjomba hakuwepo home, nka mkuta shangazi, nkajieleza pale kuwa nme faulu, na nmekuja kumpa hi uncle ... Daah shangazi alinitolea shombo... in short ali tafsiri kama nmekuja kuomba Ada
 
Nakwambia kama unandoto yako share na aliyekuzidi mnaolingana wengi wao huwa wanyimi wanaroho mbaya hawapendi uwazidi..unaweza kuwa na waz zuri sana ukishare na mpumbavu atatanguliza changamoto badala ya mafanikio ili tu ukate tamaa..ukianzisha biashara usitegemee watu mnaofahamiana nao watakusupport sana watakukopa na hawatalipa,anzisha kiwanda watataka waone bidhaa zako zinachuana na baresa au moo sokoni otherwise wataunderate bidhaa zako..unaweza mfata role modal wako katuka ndoto yako akupe walau mwanga ili na wewe ujikwamue ukifikie walau robo yakile ulichodhamiria na akakupotezea... so changamoto ni nyingi kufikia matarajio ya malengo yako BILA MOYO MKUU WA WEWE BINAFSI MBEBA MAONO HUTOBOI vikwazo ni vingi kuliko mafanikio jipe moyo mkuu pambania ndoto yako hiki ndicho ninachokiishi
 
Back
Top Bottom