Nilipiga million kwenye mikeka kuwambia watu wote hawakufrahi kabisa😊😊Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo.
Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi.
Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
Umeandika vizuri sanaChema.kwako kinaweza kikawa si chema kwao kama unavyotarajia..lets say ulikuwa na ndoto ya kuanzisha kampuni na ulitamani muda mrefu utakapofanikiwa kusajili ukawaeleza hata hawatashtuka sabau wak wanachotarajia ni wakuone unamapesa tajiri kibopa ndani ya muda mfupi,watu hawawatafurahia mchakato wako wanapenda waone matokeo bila kujali wewe mbeba maono usmestrugle vipi kufikia hapo ulipo people dont care about your struggles and hassles ..Nilichojifunza katika maisha amini ndoto zako pambania ndoto zako ili ukifanikiwa waje wakuulize umewezaje
Duh hayo madude siwezi kula
Poleee unakosa utamu.Duh hayo madude siwezi kula
🤣🤣🤣Nilipiga million kwenye mikeka kuwambia watu wote hawakufrahi kabisa😊😊
Niliponunua Pikipiki yangu ya kula misele...ndugu hawakufurahi niliwaelewa nilikua nachungulia kifo...nishauza nikanunua kibaby walker.
bora hao wanaonesha kuto furahia.. Maana after that uta wakwepa. Kuliko wale wanaofurahia kinafiki halafu ukiondoka wana ku mind..Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo.
Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi.
Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
Naongeaga tu ila mbuzi ,ng'ombe ,nguruwe nyama zao huwa sili ,mimi natumia samaki na kuku tuPoleee unakosa utamu.
🥸🥸🥸 Ndo hivo wengine hawataki kusikia habari njema kabisa