Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Vyote pesa na muda; but hua naumia sana kupoteza muda niliowekeza kwa mtu then anauchezea na hatufiki popote; why? Coz pesa naweza wekeza pesa penzi likavunjika nikajipanga upya nikazipata tena iwe ni chache; nyingi au sawa na nilizopteza; ila muda ukishaupoteza haurudi mzee...mbaya zaidi muda una effect hata kwenye energy ya utafutaji; maana unaweza zinguana na mtu at the age of 35-40; huo muda ulopoteza hata ukisema uanze upya huenda nguvu na hata akili ya utafutaji na kujipanga upya haiwezi kua sawa na kipindi uko na age ya 30 and below....to me time is more than money!!!