Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Nilimsomesha mchumba....please don't ask me inauma ase
Pole sana Mkuu. Ulikuwa hupendwi na ndio maana akakufanya ATM yake. Wakati huo huo kuna watu walikuwa wanamuzagamua bure bila hata shingimia.Mimi yupo mmoja huyo ilikuwa
Kila siku natuma 5000 ya kula
Mwisho wa mwezi 10000 ya umeme
Kila weekend natuma 10000 ya saloon
Kila week namuunga Brando la 3000 la week kifurushi .
Lakini mwisho wa siku nilikuja kugundua yote haya ninayomfanyia moyoni mwake Simo hapo ndipo nilipogundua kumpenda mtu asiyekupenda ni sawa na kazi bure hata umfanyie nini ,,,
Ilinichukua muda mrefu kujitoa katika hayo mahusiano maana binti nilikuwa nina mpenda sana kuachana na Yule binti mpka nakuja kukaa sawa ilinichukua almost miezi 6 kukubali uhalisia sipendwi nahitaji kuanza upya
Ila nashukuru baada ya kuanza upya niko vizuli na Yule binti mpka leo hii bado ananitafuta tusahau ya zamani tufungue ukurasa mpya
Sawa alikuwa anajiuza mbona kwako hajajiuza? Isije kuwa umesikia stori za watu.Nikweli alitokea kunipenda kinafki na anapika msosi anamuita jamaa yangu boda boda aniletee na hera anamlipa but jambo la kushangaza kumbe demu alikuwa anajiuza kwenye madangulo nje ya mkoa tunaoishi, kinachoniuma zaidi mtaani niliwakataa mademu kibao nikidhani nimefika kwa huyu mtoto kumbe, nilipo kuja kugundua anajiuza aisee huu mwaka umeisha kivingine, ila nitabaki kuitunza zawaidi yake ya viatu vya air max vipya alivyo ninunulia, ingawa ameniharibia kwa wazazi mpaka mtaani maana nilikuwa nisha mtambulisha home ila kwao sifahamiki,
Kaka ulijitoa kusema ukwel iMimi yupo mmoja huyo ilikuwa
Kila siku natuma 5000 ya kula
Mwisho wa mwezi 10000 ya umeme
Kila weekend natuma 10000 ya saloon
Kila week namuunga Brando la 3000 la week kifurushi .
Lakini mwisho wa siku nilikuja kugundua yote haya ninayomfanyia moyoni mwake Simo hapo ndipo nilipogundua kumpenda mtu asiyekupenda ni sawa na kazi bure hata umfanyie nini ,,,
Ilinichukua muda mrefu kujitoa katika hayo mahusiano maana binti nilikuwa nina mpenda sana kuachana na Yule binti mpka nakuja kukaa sawa ilinichukua almost miezi 6 kukubali uhalisia sipendwi nahitaji kuanza upya
Ila nashukuru baada ya kuanza upya niko vizuli na Yule binti mpka leo hii bado ananitafuta tusahau ya zamani tufungue ukurasa mpya
Mapedejee wanaachwa sembuse hizo cent zako.Lakini mwisho wa siku nilikuja kugundua yote haya ninayomfanyia moyoni mwake Simo hapo ndipo nilipogundua kumpenda mtu asiyekupenda ni sawa na kazi bure hata umfanyie nini ,,,
Kuna watu wana moyo......lakini nyie vijana hela mnazipataje aisee?K
Kaka ulijitoa kusema ukwel i
HahahahahaNilimsomesha mchumba....please don't ask me inauma ase
Lakini wewe pia si ulimkula? Nyie mnadhani wanawake ni wajinga?alinimalizia mtaji