Nikiwa nimetoka frssh from school na nikiwa chuo first year wakati wa likizo, nikaitwa na Head masterwangu wa zamani nikafundishe shule Moja ya Sekondari aliyohamia huko Moro vijijini nikafundishe Chemistry na Biology.
Nikaenda na kuanza piga pindi fresh. Nimefundisha vizuri na kimsingi sikuwa na tamaa japo mabinti wengi walikuwa wananitega. Kuna pisi moja ya form 4 nikaikubali ila nikawa naheshimu uanafunzi wake nami nikiwa mwalimu. Ikamaliza form 4 nami nikamaliza "tempo" kisha nikarudi zangu chuoni.
Sina hili wala lile, sijajua ilitoa wapi namba yangu. Nikaona imenipigia pitia simu ya sister ake kuwa nimekuja Morogoro Mjini na ninaishi kwetu pamoja na dada yangu. Nikaitoa Bikra na ikawa pisi yangu rasmi. Ilinipenda sana nami nilimpenda sana yule binti na ningekuja muoa yule japo alipoenda Arusha Technical machalii wa R wakamjanjarusha.
Huwaga bado nakukumbuka Mamuu, mwalimu wako anakukumbuka sana.