Umewahi shuhudia au kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Kwa wenyeji wa pwani, umewahi kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?

 
Nimeishi Mtwara na Lindi na nimewahi kusikia.
 
We unachukuliaje ugumu wa nazi na urefu wa huo mti mkuu unakufa safi tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…