Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

Umewahi fiwa na demu gheto?
Enzi za ujana, nilipata demu mmoja mkali sanaaaaa na nilimfukuzia kwa miezi 6 bila kuchoka. Siku ya siku akaingia laini nami bila ajizi tukaenda guest house. Katikati ya gemu ghafla demu akakakamaa na kugeuza macho (yaani ile mboni nyeusi haionekani, ni nyeupe tuu!!). Stimu zote za game zikakaza, nikavaa na kwenda kwa mhudumu wa gesti ambaye ni jamaa yangu ili anipe ushauri, jamaa akasema tusubirie muda kidogo tuone... Nikaagiza konyagi ndogo nikaipiga tarumbeta ikaisha, na baadae nikarudi room nikamkuta kalala usingizi, anapumua vizuri na kukoroma juu, nikamuacha tuu. Baada ya masaa 2 ndiyo akaamka na yuko fresh kabisa, na baadae nilikuja kubaini kwamba kumbe yeye akifikia kileleni lazima hiyo hali imtokee daaah..
 
Hapo Israeli anaichomoa roho kwa nguvu ndiyo maana alikuwa anahangaika sanaa.. Kuna jamaa alikuwa anapiga story na mgonjwa wake huku wanacheka na baadae mgonjwa akamwambia mimi nalala sasa, mbaki salama na uwaangalie wadogo zako, ndani ya dakika 5 akstoka kwenye kiti kwenda kitandani kumshushia neti lakini akakuta tayari keshafariki, kwa utulivu kabisa.
 
unasema kushuhudia tu!!? jana mimi nimemuua liverpool na akafa kweli.
 
Hatari sana.
Ombea Mungu usifiwe na demu ghetto, bora hotelini unaweza kutoka nduki
Kuna ile stori ya jamaa wa chuo (UD)

Long time ago

Demu alifariki getoni kwake

Baada ya kushauriana na washkaji wakaamua watafute jeneza (yale ya kiislam) usiku kwa usiku, wakamuweka marehemu na kusubiri hadi mida ile ya alfajiri waumini wakiwa wanatoka msikitini...

Basi (jamaa walikuwa wanne), wakapita na jeneza kwa uelekeo wa kwenda msikitini...

Sasa ule utamaduni wa kupokezana kubeba ukachukuwa nafasi yake, kila aliyepokewa akatokomea kusikojulikana...

Kilichoendelea hakijulikani.
 
Nimetoka kidogo kuzunguka nyuma ya mtaa nakuta kuna msiba gari iliyobeba jeneza ndo inatoka kwenye geti wanaenda kuzika dah nikakumbuku huu uzi nikasikitika sana japokua aliye kufa simjui may he rest in peace
 
Acha utani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
pole sana aiseee
 
kuna mmja alifiwa na demu hotelini/guest akaenda kununua begi kubwa yale kama yana ngazingazi.... akalifungua akatumbukiza mzigo akatoka nae kama anasafir hadi ubungo akampa utingo akaweka kwenye buti akasepa zake.
Gari ikapata pancha getini, wakaziba pancha, kufika Kimara gari inachemsha kichizi, gari imechanganya oil na maji, water pump imekufa. Safari ikaishia hapo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gari ikapata pancha getini, wakaziba pancha, kufika Kimara gari inachemsha kichizi, gari imechanganya oil na maji, water pump imekufa. Safari ikaishia hapo
no

waliwasha gari kufika kibaha gari ikazima tena,kumbe plate number ndio ilichomoka.

wakarudi kuifuata wakabandika ikawaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…