amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Ilikuwa 2006 mama yangu mdogo wakati anatwaliwa niliingia chumba alipokuwa amelala niliongea nae kiasi na kumwambia usiku Mwema wakati Nampa mgongo niligeuka kumwangalia nikakuta macho yamelegea halafu amenyanyua mkono mmoja ananipungia bye bye
Mimi sikuelewa akili ya utoto si UNAJUA Tena na Mimi nikapunga mkono nikaondoka, kidogo nilisikia mama analia kwa nguvu kuwa mam dogo hatunae Tena. Kwa kuwa mama alikuwepo nae pembeni najua mama alielewa.