Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana,ilikuajeNilifiwa na mwanangu mikononi mwangu…
Isikilizie tu kwa jirani, isikutokee… [emoji22]
Pole sana dada yangu charminglady.Nilifiwa na mwanangu mikononi mwangu…
Isikilizie tu kwa jirani, isikutokee… [emoji22]
Alikuwa mgonjwa tangu kuzaliwa…pole sana,ilikuaje
Wewe ni muongoNilifiwa na mwanangu mikononi mwangu…
Isikilizie tu kwa jirani, isikutokee… 😢
Asante kwa hekima kubwaKaka angu nakuomba. Achana na sisi humu kabisa. Kuna kaupumbavu tunako na bado hatujakua. Ukute anacomment kutoka kwa shemeji yake. Kwa heshima ya mtoto wetu (REST IN PEACE LOVELY SOUL), just ignore kila fool atakaetaka kukuudhi.
Mungu atupe mwisho mwemaBy yr 3000, hakuna kiumbe aliyepo kwenye hii platform atakuwa hai. Damn it!😪😪
3000 mbali hivyo? 2150 tu sisi sote ID zetu zitasoma RIPBy yr 3000, hakuna kiumbe aliyepo kwenye hii platform atakuwa hai. Damn it!😪😪
Nilikua na msela wangu tumetoka mkoa mwana anadrive me niko kushoto nimeshika glass nakula k.vant mwana anakula maji baridi full mastori full happy,ilikua km kilometres 20 tufike sijui hata tuligongana vipi na Costa,napata fahamu nipo nje napepewa mwana wanamtoa kwenye ndinga kabanwa.Kwakifupi mchizi ndo hivyo alikua tayari katembea(rip maniga).Me niliumia kidogo sana ila gari tuliuza chuma chakavu.Leo nimeona mtu akifa kama utani na mbele yangu.
Wakati nikivuka barabara ghafla mtu mwanaume aliyekuwa mbele yangu akaanguka kama kapigwa shoti ya umeme.
Akajibamiza vibaya sana chini na pote pakaanza kutapakaa damu, inatoka kila eneo la wazi la mwili.
Sababu ya butwaa nilikosa cha kusaidia ila wakaja wadau hapo wakasema ni kifafa huyo, jamaa keshameza ulimi n.k yaani kuna mzee akamgusa akasema huyo tayari kafa.
Basi ikawa ndio hata hatujui nini kifanyike
Ila ndio ikawa tayari amekufa. Nikaahirisha na safari nikarudi zangu nyumbani.
Umewahi shuhudia mtu kufa ghafla?
Ukweli mchachu kama sio Mchungu uuupfffu... Mungu saidia watu wako3000 mbali hivyo? 2150 tu sisi sote ID zetu zitasoma RIP
K vant Ina maajabu yake ktk medani sawa na maji ya upako... Oooh!Nilikua na msela wangu tumetoka mkoa mwana anadrive me niko kushoto nimeshika glass nakula k.vant mwana anakula maji baridi full mastori full happy,ilikua km kilometres 20 tufike sijui hata tuligongana vipi na Costa,napata fahamu nipo nje napepewa mwana wanamtoa kwenye ndinga kabanwa.Kwakifupi mchizi ndo hivyo alikua tayari katembea(rip maniga).Me niliumia kidogo sana ila gari tuliuza chuma chakavu.
Amiiiiin AmiiiiinTuwaombee waliotangulia Allah awape pumziko Jema na awasamehe Dhambi zao
Kwa hiyo nadanganya kufiwa? Basi sawa, vyovyote utakavyoaminiWewe ni muongo
Uache uongo...Kwa hiyo nadanganya kufiwa? Basi sawa, vyovyote utakavyoamini