Umewahi Sikia Hii??

we vp? ushaenda ukakuta si size yako? je ni oversize au undersize? ol in ol, kule hakuna size, vi2 vipo elastic
Ahahahaaah!! Kweli kabisa ile kitu ni elastic....
 
Kama mtu inasemekana kuwa anaweza kumpisha rafiki yake, basi na hili linawezekana. Halina mjadala hapa, naona hii ni taarifa tu. Ni chaguo lako ukichoka kisamvu mkubaliane ingawa si rahisi kwa wengi kwani inaweza kuwa chanzo cha talaka.
Sijakuelewa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…